Collin Gumbu

Home / Collin Gumbu

Bw. Collin Gumbu ni Meneja Uhamasishaji wa Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact. Katika nafasi hii, yeye uratibu matukio yote ya uhamasishaji, kama vile kutembelea vyuo mbali mbali, atamizi na vituo vya masuala ya teknolojia ili kuwajulisha watu juu ya fursa zilizopo kupitia Shindano la Ubunifu.

Profile details

DLIIC : Welcome !

Authorize

Lost Password

Register