Joseph Lubabwa

Home / Joseph Lubabwa

Joseph Lubabwa

Meneja Ruzuku

Bw. Joseph Lubabwa, ni Meneja anayesimamia ruzuku wa Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact. Baada ya miaka sita ya usimamiaji miradi mbali mbali ya ruzuku za kati, anachangia katika kutoa ujuzi wake kuwasaidia wabunifu na wajasiriamali katika usimamizi wa ruzuku zao kutoka DLIIC. Hutoa msaada hususani katika maeneo ya Usimamizi wa Fedha, Uhasibu na Uwekaji wa Kumbukumbu ndani ya shughuli za kifedha za mradi na kuhakikisha kuwa shughuli zote zinafanywa kwa njia ya ufanisi na bora.

Profile details

DLIIC : Welcome !

Authorize

Lost Password

Register